Kiisnag

Kiisnag ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Waisnag. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kiisnag imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiisnag iko katika kundi la Kifilipino.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne