Kimandari

Kimandari (au Kimundari) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Wamandari. Idadi ya wasemaji wa Kimandari haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimandari iko katika kundi la Kinilotiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne