Kisehwi

Kisehwi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wasehwi. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kisehwi imehesabiwa kuwa watu 250,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisehwi iko katika kundi la Kikwa.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne