Wasebei ni kabila linaloishi hasa kwenye mlima Elgon, mashariki mwa Uganda (wilaya ya Kapchorwa).
Lugha zao ni Kisebei na Kikupsabiny ambazo ni kati ya Lugha za Kiniloti.
Tangu zamani ni wafugaji wa ng'ombe[1] .
Leo wanakadiriwa kuwa 275,000 upande wa Uganda na wachache zaidi nje yake; wengi wao ni Wakristo.
{{cite book}}
: Unknown parameter |dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)