Aljeria

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Aljeria
الجمهورية الجزائرية الديمقراطية الشعبية (Kiarabu)
al-Jumhūriyah al-Jazāʾiriyah ad-Dīmuqrāṭiyah ash‑Shaʿbiyah
Kaulimbiu ya taifa: بِالشَّعْبِ و لِلشَّعْبِ
"Biš-šaʿb wa liš-šaʿb"
"Na watu, kwa watu"
Wimbo wa taifa: قَسَمًا
Kasaman
"Tunaapa"
Mahali pa Aljeria
Mahali pa Aljeria
Ramani ya Aljeria
Ramani ya Aljeria
Mji mkuu
na mkubwa nchini
Aljeri
36°42′ N 3°13′ E
Lugha rasmiKiarabu
Kiberberi
Makabila (asilimia)85 Waarabu
15 Waberberi
Dini (asilimia)99 Wasuni (rasmi)
SerikaliJamhuri
 • Rais
 • Waziri Mkuu
 • Rais wa Baraza
 • Rais wa Bunge
Abdelmadjid Tebboune
Nadir Larbaoui
Salah Goudjil
Ibrahim Boughali
Idadi ya watu
 • Kadirio la 202344 758 398[1]
Pato la taifaKadirio la 2023
 • JumlaOngezeko USD bilioni 224.107[2]
 • Kwa kila mtuOngezeko USD 4 874[2]
Pato halisi la taifaKadirio la 2023
 • JumlaOngezeko USD bilioni 628.990[2]
 • Kwa kila mtuOngezeko USD 13 681[2]
Maendeleo (2021)Ongezeko 0.745[3] - juu
SarafuDinari ya Aljeria
Majira ya saaUTC+1
Muundo wa tarehesiku/mwezi/mwaka
Upande wa magariKulia
Msimbo wa simu+213
Msimbo wa ISO 3166DZ
Jina la kikoa.dz


Aljeria ni nchi ya Afrika ya Kaskazini-Magharibi. Imepakana na bahari ya Mediteranea, Moroko, Sahara ya Magharibi, Mauretania, Mali, Niger, Libya na Tunisia. Aljeria ni nchi kubwa kuliko zote za Afrika lakini sehemu kubwa ya eneo lake iko katika jangwa la Sahara.

  1. "Angola". The World Factbook (kwa Kiingereza) (toleo la 2024). Shirika la Ujasusi la Marekani. Iliwekwa mnamo 23 Machi 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. 2.0 2.1 2.2 2.3 "World Economic Outlook Database, October 2023 Edition. (Algeria)". IMF.org. International Monetary Fund. 10 Oktoba 2023. Iliwekwa mnamo 23 Machi 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Data Futures Exchange (Algeria)". data.undp.org. Umoja wa Mataifa. Iliwekwa mnamo 23 Machi 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne