Bilioni

Mchoro unaoonyesha bilioni kupitia michemraba A, B, C na D, ambapo A inaingia katika B, B katika C na C katika D.

Bilioni (kutoka Kiingereza "billion"[1][2]) ni namba ambayo inamaanisha milioni elfu moja na kuandikwa 1,000,000,000.

Inafuata 999,999,999 na kufuatwa na 1,000,000,001.

Inaweza kuandikwa pia kifupi 1 × 109.

Kiambishi awali giga kinatumika pia kumaanisha mara 1,000,000,000, ingawa katika lugha nyingine nyingi neno linalofanana na "bilioni" linamaanisha milioni milioni (1,000,000,000,000).

  1. "How many is a billion?". oxforddictionaries.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-05-30. Iliwekwa mnamo 2015-06-01.
  2. http://books.google.com/ngrams/graph?content=billion%2Cthousand+million%2Cmilliard&year_start=1808&year_end=2008&corpus=18&smoothing=3&share=

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne