Dola-mji

Dola-mji ni dola ambalo eneo lake ni mji mmoja pekee.

Katika historia kuna mifano mingi ya dola-miji. Mwaka 2015 kulikuwa bado na miji mitatu duniani ambayo ni dola-miji ya kujitegemea kabisa.

Pamoja nayo kuna pia madola au majimbo ndani ya nchi za shirikisho yanayoweza kuitwa "dola-mji".


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne