Jembe

Aina mbalimbali za majembe, Centro Etnográfico de Soutelo de Montes, Pontevedra, Hispania.
Jembe (Zambia)

Jembe (kwa Kiingereza "hoe") ni kifaa chenye matumizi mengi katika maisha ya kila siku. Hasa kinatumika katika kilimo, ili kuchimbia mashimo kwa nia ya kupanda mbegu, lakini pia kupalilia shamba.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne