Juhudi

Buddha alifanya juhudi nyingi kabla ya kuhimiza wastani.[1] Fransisko wa Assisi pia alifanya juhudi nyingi.[2]

Juhudi (kutoka neno la Kiarabu juhudجهود) ni matumizi makubwa ya akili, ujuzi, maarifa na nguvu ili kujipatia maendeleo ya kiroho, ya kiuchumi n.k.

Dini nyingi zinahimiza juhudi katika maadili na maisha ya kiroho.

  1. Randall Collins (2000), The sociology of philosophies: a global theory of intellectual change, Harvard University Press, ISBN|978-0674001879, page 204
  2. William Cook (2008), Francis of Assisi: The Way of Poverty and Humility, Wipf and Stock Publishers, ISBN|978-1556357305, pages 46-47

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne