Karne ya 15


Karne ya 15 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 1401 hadi 1500. Kikamilifu kilianza tar. 1 Januari 1401 na kuishia 31 Desemba 1500. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".

Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya kibinadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu - hali halisi maendeleo na mabadiiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.

Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne