Karne ya 6


Karne ya 6 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 501 na 600. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 501 na kuishia 31 Desemba 600. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".

Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya kibinadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.

Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii, kama haya yafuatayo.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne