Kasoro

Mchoro wa kasoro katika MacIntosh ya kwanza ya Apple.

Katika utarakilishi, kasoro (kwa Kiingereza: bug) ni kosa linalotokea katika programu ya tarakilishi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne