Nazi (tunda)

Picha ya mnazi na tunda lake la nazi
Nyuzi zinaondolewa katika ganda la nazi (Sri Lanka)
Kutengeneza mikeka kutoka nyuzi za nazi (Sri Lanka)
Nazi mtini zikiiva

Nazi ni tunda la mbegu la mnazi. Ina ganda la nje, ganda ngumu au mfuu wa ndani, nyama ya mbegu na utomvu ndani ya uwazi wa mbegu.

Ina matumizi mengi katika maisha ya binadamu.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne