Pontevedra

Pontevedra

Pontevedra ni mji (manispaa) wa Hispania, makao makuu ya mkoa wa Pontevedra katika Jimbo la Galicia.

Tarehe 1 Januari 2020 wakazi wake walikuwa 83,260. Liko katika Rías Baixas (Galicia) ya Atlantiki, kilomita 600 kaskazini kwa Madrid.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne