Toulouse

Mji wa Toulouse


Jiji la Toulouse
Jiji la Toulouse is located in Ufaransa
Jiji la Toulouse
Jiji la Toulouse

Mahali pa mji wa Toulouse katika Ufaransa

Majiranukta: 43°36′16″N 1°26′38″E / 43.60444°N 1.44389°E / 43.60444; 1.44389
Nchi Ufaransa
Mkoa Midi-Pyrénées
Wilaya Haute-Garonne
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 437,715
Tovuti:  www.toulouse.fr

Toulouse ndiyo mji mkuu katika mkoa la Midi-Pyrénées. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao milioni 1.1 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 115-263 kutoka juu ya usawa wa bahari.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne