Wilaya ya Ngoma

Picha ya ramani ikionesha eneo la wilaya ya Ngoma, Rwanda

Wilaya ya Ngoma inapatikana katika mkoa wa Mashariki nchini Rwanda.

Makao makuu yako Kibungo.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne