Kijerumaniki

Lugha za Kijerumaniki ni kikundi cha lugha zenye asili ya Ulaya ya Kaskazini. Lugha za Kijerumaniki zenye wasemaji wengi ni Kiingereza (milioni 380) na Kijerumani (milioni 120). Lugha nyingine za Kijerumaniki ni lugha za Skandinavia, halafu Kiholanzi na Kiafrikaans wa Afrika Kusini. [1]

  1. Britannica. "Germanic languages" (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-02-23.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne