Ufaransa

Jamhuri ya Ufaransa
La République française (fr)
Kaulimbiu: Liberté, Egalité, Fraternité (fr)
Uhuru, Usawa, Undugu (sw)
Wimbo wa taifa: "La Marseillaise" (fr)
Eneo la Ufaransa
Mji mkuu
na mkubwa
Paris
Lugha rasmiKifaransa
Kabila
Dini
UraiaMfaransa
 • Rais
Emmanuel Macron
 • Gérard Larcher
Rais wa Seneti
Historia
 • Ufalme wa Wafaransa wa Magharibi – Mkataba wa Verdun
16 Agosti 843
 • Jamhuri ya Kwanza ya Ufaransa
22 Septemba 1792
 • Katiba ya sasa – Jamhuri ya Tano ya Ufaransa
4 Oktoba 1958
Eneo
 • Jumlakm2 643,801 km²
 • Msongamano122/km2
PLT (PPP)Kadirio la
 • Jumla $4.44 Trilioni
 • Kwa kila mtu $65,940
PLT (Kawaida)Kadirio la
 • Jumla $3.17 Trilioni
 • Kwa kila mtu $48,070
HDI (2022) 0.910
Gini (2022)29.7
SarafuEuro
CFP franc (XPF)
Majira ya saaUTC+1
Msimbo wa simu+33
Jina la kikoa.fr
Tanbihi:
Pato La Taifa inatumia data ya IMF chapisho la 2024
Eneo Jumla Pia linajumuisha maeneo ya Mbali ya Ufaransa

Ufaransa, rasmi Jamhuri ya Ufaransa (République française fr) ), ni nchi iliyopo magharibi mwa Ulaya. Kulingana na sensa ya 2020 Ufaransa ina idadi ya watu milioni 67.1 na eneo la kilomita za mraba 643,801 .Inapakana na Ubelgiji na Uholanzi upande wa kaskazini, Ujerumani, Uswidi, na Italia upande wa mashariki, Uhispania na Andorra upande wa kusini-magharibi. Nchi pia ina maeneo ya ng'ambo, kama vile visiwa vya Caribbean, Bahama, na Pasifiki. Mji mkuu na mkubwa ni Paris, na lugha rasmi ni Kifaransa.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne