Uislamu nchini Bhutan

Uislamu kwa nchi

Uislamu nchini Bhutan ni dini ndogo mno nchini Bhutan. Imekadiriwa kuwa ni asilimia 0.2 ya Waislamu wote wanaoishi nchini humo. Dini kuu ni Ubudha.[1][2]

  1. Pew Research Center - Global Religious Landscape 2010 - religious composition by country Ilihifadhiwa 5 Agosti 2013 kwenye Wayback Machine..
  2. Pew Research Center's Religion & Public Life Project: Bhutan Ilihifadhiwa 13 Novemba 2018 kwenye Wayback Machine.. Pew Research Center. 2010.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne