Search wikipedia

10 results found for: “Google”.

Request time (Page generated in 0.5293 seconds.)

Google

Google ni tovuti kwenye mtandao inayotumika kutafuta kurasa na habari za kila aina. Inatumia programu inayoitwa "mashine ya kutafuta" (search engine)....

Last Update: 2023-11-29T13:54:05Z Word Count : 681

View Rich Text Page View Plain Text Page

Google Play

Google Play ni jukwaa la kujipatia programu au apps za mfumo wa uendeshaji wa Google Android. Ni duka la mtandaoni kwa ajili ya muziki, vitabu, filamu...

Last Update: 2024-06-04T05:25:31Z Word Count : 257

View Rich Text Page View Plain Text Page

Google Earth

Google Earth ni programu ya habari kuhusu dunia isiyokuwa bayana , ramani na habari ya kijiografia ambayo awali iliitwa EarthViewer 3D, na iliundwa na...

Last Update: 2023-09-17T07:27:26Z Word Count : 7820

View Rich Text Page View Plain Text Page

Google Chrome

Google Chrome (inayojulikana kama Chrome) ni kivinjari wavuti kilichotengenezwa na Google LLC. Iliyotolewa mara ya kwanza mwezi Septemba 2008, kwa ajili...

Last Update: 2024-06-20T05:57:24Z Word Count : 291

View Rich Text Page View Plain Text Page

Google Glass

Google Glass ni kifaa cha ubunifu kilichotengenezwa na Google kinachovalia kama miwani, lakini kinajumuisha kioo cha dijiti kilichojengwa ndani yake....

Last Update: 2023-11-16T18:15:25Z Word Count : 135

View Rich Text Page View Plain Text Page

Google My Business

Google My Business ni huduma ya mtandaoni kwa wamiliki wa kampuni za biashara inayoendeshwa na Google. Huduma hiyo ilizinduliwa mnamo Juni 2014 kama njia...

Last Update: 2020-09-15T17:48:45Z Word Count : 259

View Rich Text Page View Plain Text Page

Google I/O

Google I/O au I/O kwa kifupi, ni mkutano wa kila mwaka wa wasanidi programu unaoandaliwa na Google, mjini Mountain View, California. Neno "I/O", limetolewa...

Last Update: 2024-01-12T13:51:28Z Word Count : 56

View Rich Text Page View Plain Text Page

Mto Bubu

nchini Tanzania https://books.google.com/books?isbn=9251029830 Uvuvi wa maji baridi nchini Tanzania https://books.google.com/books?isbn=2831701856 Semina...

Last Update: 2019-05-31T14:10:36Z Word Count : 98

View Rich Text Page View Plain Text Page

Nile Nyeupe

Sudan Orodha ya mito ya Sudan Kusini Orodha ya mito ya Uganda [[[:Kigezo:Google books]] The New American Cyclopaedia: A Popular Dictionary of General Knowledge...

Last Update: 2019-06-07T13:30:29Z Word Count : 224

View Rich Text Page View Plain Text Page

Falsafa

wa Maarifa, Salvatorianum, Morogoro Vyanzo (google books) Edwards, Paul, mhr. (1967). [[[:Kigezo:Google books]] The Encyclopedia of Philosophy]. Macmillan...

Last Update: 2022-12-15T08:39:53Z Word Count : 2700

View Rich Text Page View Plain Text Page

Main result

Google

Google ni tovuti kwenye mtandao inayotumika kutafuta kurasa na habari za kila aina. Inatumia programu inayoitwa "mashine ya kutafuta" (search engine). Jina Google limetokana na neno Googol linalomaanisha tarakimu 1 inayofuatwa na sifuri 100. Imepata mafanikio makubwa kati ya tovuti za aina hii, na kila siku takriban watu milioni 200,000 wanaitumia. Tovuti ni mali ya kampuni Google Inc. ya Marekani, lakini kampuni mama ni Alphabet Inc.. Kampuni ilianzishwa na Larry Page and Sergey Brin mwaka 1998, wakati walipokuwa wanafunzi wa chuo kikuu. Matumizi ya Google ni bure, lakini kampuni ina mapato makubwa kutokana na matangazo ya biashara kwenye kurasa zake na thamani ya kampuni imekadiriwa kuwa bilioni za dolar 130 hivi. Umaarufu wa mashine ya kutafuta ya Google umetokana na sababu mbalimbali ikiwemo kanuni zinazotumika kuzipa ukurasa daraja la mtandaoni kwa kutumia mfumo uliopewa jina la PageRank kutokana na jina la mmoja wa waanzilishi wa Google, Larry Page. watangazaji wengi hujitahidi kutumia mbinu mbalimbali ili kuwa na daraja la juu kwenye mashine yake ya kutafuta. Kiasili Google ilitengenezwa kwa kutafuta maneno kwenye tovuti na hadi leo hii matumizi yake ni makubwa. Lakini Google imeendelea kuongeza huduma nyingine kama kutafuta picha (Google Images), kutafuta mahali kwenye ramani ya dunia (Google Maps), kutafuta habari kwenye wavuti ya magazeti (Google News), video (YouTube) na mengine mengi. Nje ya huduma za kutafuta, google imeanzisha pia huduma nyingine kama 'Google Mail' (huduma ya barua pepe) au huduma za kutunza kalenda (Google Calendar) na maandishi ya binafsi ya akaunti kwenye seva za google. Huduma nyingine ni ile ya kutafsiri (Google Translate) yenye nafasi ya kupakia matini kutoka moja ya lugha 60 na programu inajaribu kuitafsiri kwa lugha nyingine. Kati ya lugha kubwa kama Kiingereza, Kihispania au Kifaransa matokeo ni mazuri kiasi, lakini lugha ndogo kama Kiswahili bado hayajaridhisha ingawa inaendelea kuboreka polepole. Kuna pia jaribio la kutoa google kwa lugha ya Kiswahili lakini hii inaleta tu ukurasa wa kuingia katika tovuti iliyotafsiriwa kisehemu.


From Wikipedia, the free encyclopedia.

Developed by Nelliwinne